YEMEN ENGLISH MEDIUM PRIMARY SCHOOL
STANDARD SEVEN (7) WEEKLY TEST
SATURDAY TIME TABLE
TIME SUBJECT
8:00 – 10:00 MATHEMATICS
10:00 – 11:00 ENGLISH
11:00 – 11:20 BREAK TIME
11:20 – 12:20 SOCIAL STUDY
12:20 – 13:00 DHUHUR PRAYER
13:00 – 14:00 KISWAHILI
14:00 – 15:00 SCIENCE
MAELEKEZO MUHIMU:
1. Zingatia muda wa mtihani
2. Majibu yaandikwe kwenye karatasi ya mistari (ruled paper)
3. Baada ya muda wa mtihani kumalizika, karatasi ya majibu ipigwe picha na
itumwe kwenye inbox ya Mwalimu wa darasa. (na sio kwenye group, kwani
kufanya hivyo utakuwa umevujisha mtihani na matokeo ya mtoto wako
yatafutwa).